Recent content by ludeng'hema

  1. L

    Tuelimishane: Denda na Maambukizi ya Virus Vya UKIMWI

    jaman naomben misaidie mtu anawezwa kuambukizwa ukimwi kwa njia ya mate au denda?
  2. L

    Kuangalia video za ngono kuna athari kwenye nguvu za kiume?

    ndugu naomba unisaidie kitu kimoja et mtu akipiga punyeto kuna probability ya kuto mpatia mimba mwanamke?
  3. L

    Govi langu linanitesa sana

    kuna mpango utolewao na serkal kuhusu tohara na kwa mtu mkubwa anapewa kipaumbele ila inachukua almost wiki mbil after kufanyiwa tohara. usaf ni lazma bro usiogope we nenda kaltoe hlo sweta
Back
Top Bottom