AFYA
Afya ni Hali ya kuhisi vizuri kimwili na kiakili, afya ni chachu ya maendeleo katika Kila sekta.
Tukianzia na madawa, ningependq kuona serikali inatoa kipaumbele Cha kwanza kwenye uagizaji wa dawa kutoka inje, iweke mipango madhubiti ya kukagua ubora wa madawa hayo, kabla hayajaingia...