Tafiti za kiafya zinaonyesha kuwa mtoto anahitaji sana maziwa ya mama kwani maziwa hayo yana faida nyingi sana kwa watoto katika maendeleo yao ya ukuajia wa mwili na akili.
Maziwa ya mama yana virutubisho kama vile pprotini, mafuta, wanga, vitamini n.k ambavyo mtoto anavihitaji sana ili akue...