Recent content by lovilea

  1. L

    JamiiForums Mkojo wenye harufu....

    Thankyu dya..nitaenda kupima kwanza!
  2. L

    JamiiForums Mkojo wenye harufu....

    Thankyu. Itabidi nikapime. Au naweza kutumia dawa gan bila kwenda hosp??
  3. L

    JamiiForums Mkojo wenye harufu....

    Thankyu. Lakin maji huwa nakunywa sana tena asubuhi asubuhi kabla ya kula chochote
  4. L

    JamiiForums Mkojo wenye harufu....

    Sidhan kama hili ni jibu. Bora ungesema hujaelewa ningefafanua. Anyways, tunatofautiana sana uelewa. Huwa haunukii ila kwa sasa unanuka sana harufu ambayo siku za nyuma haikuwa hivo
  5. L

    JamiiForums Mkojo wenye harufu....

    Habar zenu huku jf doktas??mwenye ujuz tafadhal anijuze. Je kukojoa mkojo wenye harufu ni tatizo? Na kama ni tatizo laweza kuwa tatizo gan? Nin tiba mbadala badala ya kwenda hospitali ? (kama ipo) maana i hate kwenda hospital na kumeza vidonge or sindano or wateva! Asanteni!
Back
Top Bottom