Recent content by lise

  1. L

    JamiiForums Nimeuziwa vocha feki halafu nikageuziwa kibao

    Ndio nawasubiri wanipigie niwape hizo namba tangu jana walisema tutakupigia baada ya dak 2 hamna kitu
  2. L

    JamiiForums Nimeuziwa vocha feki halafu nikageuziwa kibao

    Kaka kusamehe sio hoja ila hawa ni matapeli. Watazidi kutapeli watu-leo kwangu kesho...
  3. L

    JamiiForums Nimeuziwa vocha feki halafu nikageuziwa kibao

    Niliangalia nilipofika nyumbani inasema 1/6/2013, halafu zote 8 zina tarehe hiyo hiyo
  4. L

    JamiiForums Nimeuziwa vocha feki halafu nikageuziwa kibao

    Naombeni ushauri wenu jamani. Alhamisi iliyopita nilinunua vocha za voda za 40,000 (elfu tano tano). Nilipofika nyumbani na kukwangua za kwanza 2 zote zinasema zimeshatumika tena mwaka jana (mi mwaka jana hata sikuwa nchi hii nimerudi Desemba karibia mwaka mpya). Zile vocha nyingine sita...
Back
Top Bottom