Recent content by ligh_gee

  1. L

    Tatizo la choo kigumu kwa watoto chini ya mwaka mmoja. Je nini njia sahihi ya kumtatulia mtoto tatizo hili?

    Habari zenu wapendwa, kuna mtoto wa miezi saba anachangamoto ya kupata choo kigumu hadi analia anateseka sana kupata choo na anaweza asipate choo ndani ya siku tatu hadi nne, naombeni ushauri namna ya kumsaidia ni chakula gan kinafaa?
Back
Top Bottom