Recent content by Leysha

  1. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Kazi bado zinaendelea
  2. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Kazi bado zinaendelea... karibuni nyoote.
  3. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Depending na Ukubwa wake, Huanzia Tsh elfu 2, bei itaongozekea au kupungua kulingana na Idadi yake na Ukubwa wa Size yake. Karibu sana Mkuu
  4. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Nipo Dar Mkuu, ila Moro pia tuna kijitawi. Ila Naimani Popote ndani ya Tanzania Kazi Zinafanyika.
  5. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Inategemea, kama ni screen printing, heatpressing au Kudarizi. Bei hutegemea na Ukubwa wa Art work yako, Design unayotaka ifanyiwe kazi na Idadi (ya Nguo/Kofia/Vikombe n.k)
  6. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Mashine ya Kudariz na Heat Press ndo Bei Kidogo. Ila Ukiwa na Kama 5M Unapata Kila Kitu. Karibu Mkuu Ukiwa tayari hata kwa kuanza na Heat Press na Screening sio mbaya coz hata mimi nilianzia huko ambako cost haizid 2M.
  7. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Asante, Upo Mkoa Gani? Mimi Baadhi ya Vitu niliagiza nje, nilinunua Amazon almost nusu ya vitu ila Printers hasa Hizi Epson nilinunua hapa hapa DSM kariakoo. Karibu sana kwenye Biashara Hizi
  8. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Kazi bado zinaendelea... karibuni nyoote.
  9. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Kazi bado zinaendelea... karibuni nyoote.
  10. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Asante mkuu... karibuni.
  11. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Yes Mkuu, Nadariz kofia, na Print Vikombe na Other Promotional Items like key chains n.k. Karibu sana.
  12. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Asante, Karibu Mkuu sana Mkuu.
  13. Leysha

    Naprint na Kudarizi T-Shirts Mashati n.k

    Salaam wana JF. Mimi Ni Muajiriwa katika kampuni fulani, kwa Muda wangu wa ziada najishughulisha na shughuli za Kuprint na Kudarizi T shirts Mashati N.K. Kwa sasa nafanyia shughuli zangu nyumbani tu na nna pokea Oda ndogo na kubwa za Kazi. Nna mashine za kisasa za Kuprint na Kudarizi kwa...
Back
Top Bottom