Recent content by Leetom

  1. L

    SoC02 Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri

    Mtambo wa pili ni madhine ya kukoboa na kusaga mahindi pamoja na kukoboa mchele. Ina dual function. Gharama yake ni USD 4,160. Kabla ya kusafirisha na kufanya installation. Kuongeza thamani ya mazao ni mchakato mrefu...., Unaanzia kwenye namna ya kuvuna na storage facilities za mpunga...
  2. L

    Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Hivi inajua jwamba Hivi umewahi kijiuliza ni kwa nini biashara nyingi hufa mara baada ya mbeba maono wa biashara hiyo (mume au mke) kufariki? Moja ya sababu kuu ni kutokuandaa mtu wa kupokea kijiti (successor). Yaani unakuta mtu ameanzisha biashara yake na kuiatamia mwanzo mwisho bila kujua...
  3. L

    SoC02 Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri

    Asante sana ndugu, ninaomba kura yako pia
  4. L

    SoC02 Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri

    Katika mapambano yako ya kujikomboa kiuchumi (financial freedom) uliewahi kupitia hizi hatua? Ulifanya nini ili kusimama tena kama ulipata anguko? Soma makala yangu kwenye SoC 2022 -kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri hapo utapata baadhi ya dondoo za kusimama tena unapoanguka kibiashara...
  5. L

    SoC02 Mdororo Sekta ya Ngozi: Changamoto za kusadikika na mikakati ya kujinasua

    Imekaa poa sana, nakupigia kura sasa. Vijana tuzidi kupambana bila kukata tamaa kwani fulsa ni nyingi lakini changamoto hazikosi.
  6. L

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Hivi unafahamu kuwa biashara ni kama mtoto. Watu husema mtoto umleavyo ndiyo akuavyo. Biashara nyingi hufa kabla ya kumaliza mwaka 1 kwa sababu ya malezi mabaya. Moja ya malezi mabaya kwa biashara ni kuitegemea biashara changa katika matumizi yako ya kila siku. Hii ni sawasawa na kuanza kumtuma...
  7. L

    Soma hapa kabla ya kuchapisha andiko lako katika Jukwaa la Stories of Change

    Hello members, naomba uchukue muda wako kusoma makala yangu inayosema kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri. Kuna mambo unaweza kujifunza, kunishauri au kunikosoa kwa lengo la kujengana na kujikomboa kiuchumi. Pia ninaomba unipigie kura yako. Asante
  8. L

    SoC02 Mdororo Sekta ya Ngozi: Changamoto za kusadikika na mikakati ya kujinasua

    Hongera kwa kuthubutu. Gharama ya kununua ngozi ni Tsh. ngapi na unafanya nini ili kujua ubora wa ngozi. Nitajihakikishiaje faida kama nikianza biashara hii?
  9. L

    SoC02 Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri

    Binafsi sijawahi kufanya biashara ya ufugaji wa aina yeyote ile. Siwezi kuzungumza chochote kwa hili. Kama kuna wenye uzoefu waje watusaidie. Naomba kura yako ndugu.
  10. L

    SoC02 Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri

    Nakubaliana na wewe kwamba ni vigumu sana kupata mtu atakayekupa passwords za mafanikio ya biashara yake. Lakini mimi naamini kuwa ukianza kujishughulisha na biashara utakutana watu wa aina tatu. 1. Kuna watakaokuona unaongeza ushidani kwao hivyo watafanya jitihada za kukushusha au...
  11. L

    SoC02 Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri

    You You're right brother, most of us we have the fear of the unknown.
  12. L

    SoC02 Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri

    Asante kwa mawazo yako ndugu, lakini elewa kwamba katika makala hii moja ya vigezo vilivyowekwa ni naneno 800-1000. Mimi ninetumia maneno 997 hivyo sikuwa na wigo mpana kuelezea kila kitu. Kama unahitaji ufafanuzi zaidi unaweza niuliza hapa. Mimi hapo awali nilianza na mtaji wa 4M lakini...
  13. L

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    It is not over until it is over......! Kwa wale ambao bado hamjaweza kutuma makala zenu kwenye jukwaa la Stories Of Change nawasisitiza msikate tamaa kwani muda bado upo. Chakufanya andika makala yako na uitume kabla ya tarehe ya mwisho wa shindano. Ni nani ajuaye kuwa waweza kuibuka mshindi wa...
Back
Top Bottom