Recent content by Laban255

  1. L

    SoC02 Tunaishi ili kula au tunakula ili kuishi?

    Hello members Please karibu sana kwa mijadala na nitafurahi kama mtanipigia kura kwa threads zangu
  2. L

    SoC02 Zama zimebadilika...

    Tumia/click alama hii ipo chini mwisho kbs wa thread Nashukuru sana
  3. L

    SoC02 Zama zimebadilika...

    Naomba ushiriki kunipigia kura katika shindano la mwaka huu, Pia nawakaribisha kwa mjadala Mwisho kabisa wa chapisho langu kuna /\
  4. L

    SoC02 Zama zimebadilika...

    Naomba ushiriki kunipigia kura katika shindano la mwaka huu, Pia nawakaribisha kwa mjadala
  5. L

    SoC02 Tunaishi ili kula au tunakula ili kuishi?

    Wahenga walisema"Kila nabii na zama zake" kila jambo na wakati wake na katika kila zama kuna namna tofauti ya maisha, na namna tofauti ya utafutaji wa mahitaji muhimu ya binadamu. Kila jua linapochomoza asubuhi ni ishara kuwa jambo jipya limezaliwa duniani na kila linapokuchwa binadamu hurejea...
  6. L

    SoC02 Zama zimebadilika...

    Ile pesa tuma kwa namba hii 07!!22!!21, jina litakuja ZAMA ZIMEBADILIKA, usitumie tena ile ya zamani,hii ni karne ya 21,Mama anashukuru sana kwa hela uliyomtumia mwezi jana ilimsaidia sana kwenye shughuli za kilimo pamoja na mdogo wako katika mahitaji yake ya shule. Zama zimebadilika sana...
Back
Top Bottom