kuna wakati hata hawa askari washika tochi wapo kimaslahi zaidi na ndiyo maana hujificha kuvizia magari wapige tochi wakati iliwapasa wawe wanakaa sehemu wazi. tatizo linakuja pale baada ya kumpata mharifu, hawachukui hatua wanapewa pesa kidogo wanaachia gari iendelee na safari. hili bado ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.