Naona unabii tayari umekwisha kutimia hasa unapoona ahadi ilikuwa waachiwe Nchi wainyoloshe kwa kutumbua majipu na walidai mengine yanawapasukia usoni!
Wakawajaza maprofesa na madokta waliosheheni makabrasha sasa wanawanyoshelea vidole wateuliwa wao yaani ni kuwarushia lawama kushoto na kulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.