Recent content by Kiyungi19

  1. K

    Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    Ndio Kujifukiza nimewahi kufanya mkuu kama hivo ulivosema
  2. K

    Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    Habari wana jamii, Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana. Naombeni ushauri tatizo...
Back
Top Bottom