Recent content by Kiyumbi Yuga

  1. Kiyumbi Yuga

    Bado sijapata suluhisho la Mwanangu kuongea

    Habari wadau,nilipost Uzi kuhusu mwanangu wa Miaka 4 ambae nilieleza kuwa haongei,ni kupiga makelele tu,ana sifa zifuatazo. 1. Anasikia ila ukimuita hakuangalii Wala hashituki,lkn ukiweka mziki asioupenda mfano kwenye simu ama TV ana kasirika na kukufuata au kukupa rimoti au simu uongeze sauti...
  2. Kiyumbi Yuga

    Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Tumeanza kuhangaikia zamani mtoto anapokuwa unaweza kudhan pengine kachelewa tu ataongea lkn muda unazidi kwenda tu unashtuka
  3. Kiyumbi Yuga

    Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Yaan shida ni kama ana tatzo la ubongo,hafundishiki kitu.
  4. Kiyumbi Yuga

    Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Hatoi udenda ,ila dalili zingine ni hizi 1. Hata baba Wala mama hawajui 2. Anachekacheka baadhi ya miezi 3. Hata ukimpungia mkono wa byebye kama watoto wengine hawez ku reply 4. Yuko busy muda wote hatulii sehem Moja 5. Jina lake halijui
  5. Kiyumbi Yuga

    Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Asante sana, sijawahi kukataa mimba Wala mtoto labda nifikirie dhambi zingine Niko tayari kutubu,sisi n binadamu tunawaza tofauti na mawazo ya Mungu
Back
Top Bottom