Kwa walio mikoa ya dodoma, manyara na singida tuna branch zetu huko pia unaweza wasiliana nasi tukakuunganisha moja kwa moja branch ili upatiwe huduma za uhakika
Mkuu kuweka bei sio rahisi mana bidhaa ni nyingi na zinatofautiana hivo unaweza wasiliana nasi tukakutajia bei ya bidhaa uhusika au tutembelee ofisini kwetu...lakini nalifanyia kazi hili swalaa ntaandaa price list na kuiweka hapa. Karibu sana boss tupo kwa ajili ya wateja
Mkuu bidhaa zetu ni za uhakika kabisa hakuna haja ya kuzitilia shaka
Ni kwel kuna padlocks za aina nyingi lakini nimeweka apo kwa ajili tu ya kuwajulisha wateja wetu kuna padlock kama solex,aware,na wohu n.k
KISHINGO COMPANY LTD ni company mkombozi kwa wafanyabiashara wa hardware items
KISHINGO COMPANY LTD inakuletea huduma bora kwa bei nafuu ewe mfanyabiashara wa hardware items, kwa waliopo mikoani na hapa Dar es salaam pia nyote mnakaribisha.
Hizi ni baadhi tu ya bidhaa ambazo zinapatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.