Ni kweli, ni vyema kuelimishana kuhusu namna na mahali pa kuweka akiba. Nimeandika makala yenye maelezo kuhusu hii; uhuru wa kifedha, hatua ianze sasa. Karibu uisome
Uhuru wa kifedha ni jambo la kufikirika kwa watanzania wengi na takwimu pia zinaonyesha ni asilimia ndogo sana yawatanzania walio na uhuru wa kifedha basi bila ata kufika mbali ata usalama wa kifedha nalo si jambo la kawaida.
Usalama wakifedha ni hali ya kutokuwa na wasiwasi wa fedha kwani una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.