Tarehe 10 katoka klinik mkuu lakini hakueleza ili Jambo sijui kwanini anadai hata mtoto wa kwa uchafu ulimtoka ingawa hakumbuki kwa mda gani Mimi ndio sina amani kabisa naona niende nae hosptl tu.
Mke wangu ni mjamzito na yupo hatua za mwisho Nurse alimwambia atajifungua tareh 10 hadi leo tareh 12 kitu ni bila bila sasa leo ananiambia kuna viuchafu kidogo huwa vinamtoka tena anadai tokea vimeanza yapata wiki sasa ila mtoto anacheza vizuri shida ni nini?
Wakuu nimepata hofu na hili Jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.