1. Kuamua kufuga mbwa.
Hakikisha unania madhubuti ya kufuga mbwa, kumbuka mbwa anahitaji kupendwa, mafunzo, matunzo na hasa mazoezi, hivyo ni inapaswa uwe na muda na pia uwezo wa kusimamia hayo.
2. Kutafuta mbwa/puppy.
Unaweza kutafuta mbwa mtaani ukammiliki au ukanunua kutoka kwa mzalishaji wa...
Aysee we kweli balaa, dunia hii ya leo umeweza kukaa bila kuwa kwenye social network yoyote isipokuwa JF tu, yaani hata whatsApp? utapitwa na mengi kiongozi...
Anyway, puppies wa GSD huwa tunao wenye long coat na shot coat ( coat =Manyoya), bei ni toafuti...long coat bei yao inakuwa juu kidogo...
Tunahusika na uzalishaji, ufugaji, ufundishaji na uuzaji wa mbwa waliosajiliwa na wenye viwango vya juu kwa ajili ya ulinzi binafsi, majumbani na maeneo mengine. Tunafundisha na kumfanya mbwa kuwa siraha, mlinzi na rafiki.
Pia tunatoa ushauri wa kitaalamu juu ya ufugaji bora na ufundishaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.