Recent content by kimandoko

  1. K

    JamiiForums Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa sinusitis au Kambaku

    Ndio kiongozi unahusiana na pua,na nimejitahidi kutibu tatizo hili kwa zaidi ya miaka 10 sasa, ila sijawahi kupona, na nimetumia antibiotics kibao na dawa nyingine kadha wa kadha lakini sijapata nafuu. Dalili zake ni kuwa na kamasi na kutiririka kwa kamasi nyuma ya Koo, maumivu ya masikio...
  2. K

    JamiiForums Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa sinusitis au Kambaku

    Ninatibu tatizo hili kwa zaidi ya miaka 10 sasa, ila sijawahi kupona na nimetumia antibiotics kibao na dawa nyingine kadha wa kadha lakini sijapata nafuu. Dalili zake ni kuwa na kamasi na kutiririka kwa kamasi nyuma ya Koo, maumivu ya masikio, maumivu kwenye taya za meno na maumivu ya macho...
  3. K

    JamiiForums Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa sinusitis au Kambaku

    Dalili zake ni kuwa na kamasi na kutiririka kwa kamasi nyuma ya Koo, maumivu ya masikio, maumivu kwenye taya za meno na maumivu ya macho sambamba na maumivu ya kichwa.
  4. K

    JamiiForums Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa sinusitis au Kambaku

    Kama kuna dawa ambayo unaifahamu naomba unisaidie. Natanguliza shukrani.
  5. K

    JamiiForums Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa sinusitis au Kambaku

    Nilishafanya vipimo vya allergy Ekenywa hospital na kuonyesha sina allergy ya chakula chochote.
  6. K

    JamiiForums Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa sinusitis au Kambaku

    Ulishanipatia dawa lakini sikupona Dkt. Mzizi mkavu
  7. K

    JamiiForums Naomba kujuzwa tiba ya ugonjwa wa sinusitis au Kambaku

    Habari Dr, Naomba kama Kuna mtu anafahamu dawa ya Kambaku maana nimeshatumia dawa nyingi bila nafuu.
Back
Top Bottom