Recent content by kilila

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ku bleed saana

    Gudmoning to you all. Nawashukuruni wote mlionishauri vyema kadri mlivyoelewa. Na mbarikiwe sana. Mliojisikia kuropoka kadri mlivyojisikia pia mbarikiwe. #What i can say is sijawah tumia njia yoyote ya uzazi wa mpango wala kuiba mume wa mtu#.."chunga sana ulimi" .niko mbeya nitakwenda hospitali!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ku bleed saana

    Habari zenu wandugu. Mimi ni binti nina miaka 24. Huwa inapofika siku zangu jaman huwa nakosa raha kabisaa na huwa sitamanii kwenda sehemu. Kwanza huwa nina blid siku 5-6, ninaweza nikaumwa tumbo na kuharusha siku ya kwanzw had ya 5. Siku nyingine huwa naunwa siku tatu mfululizo au ya 1 , ya 2...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Kwa experienc huwa unatoka kabla haujaingia ndani. Sasa huyu ata uchezeeje huwa hautok
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Kwa hyo kama ute hautok madhara yake yanaweza kuwaje?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Hilo nalo neno. Em nianze na wewe ndugu. Mbinu zipi we unazozifahamu??
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Katika aya ya pili umezungumzia "Preejaculation" na umesema hupunguza nguvu ya asidi. Sasa kama usipotoka maana yake asidi haitapunguzwa? Matokeo yake yaweza kuwaje sasa??
  7. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Mzizi mkavu, mshanaJr, watu8. Plz come this way maana stl napata mashaka. ... Labda hanifeel au? Au mniaambie kama si lazima kwa huo ute kutoka na hata usipotoka haina madhara. Hapo roho yangu itapona!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Thou am bak baada ya kupotea kitambo bt i hop everythng is okey. Kwel badao napata shda maana stil sijawekwa waz kama kuna tatizo au madhara endapo mwanaume hatoi ute ute kabla ya tendo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Dahh .thankyu much Mshana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    .kwa hiyo kwa maelezo haya so sio lazima uteute kutoka??! Pia umesema kuwa ute huo wa awali i.e kabla ya ngono "husaidia kupunguza nguvu ya asidi" .kwa hyo sasa asiyetoa maana yake nguvu ya asidi haipunguzwi. Sasa kama nguvu ya asidi haitapunguzwa, je hakuna madhara yoyote??
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Mlingot unasimama vyema kabisaa n pafomac iko vyema. Sasa hapo kwenye product ndo sijawahi ifuatilia. Labda ndo nianze sa hivi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Jaman..kwanza kabla cjaendelea na mada, Mshana, thankyu ver much for darasa..pia am sory as niliquit ghafla na yote hii ni sababu ya majukumu. Bak to mzizi, yani kama ni kuuchezea. Nishachezea ad sijui nielezeje jaman. Sijui kama kuna sehemu nimebakiza kuchezea *I like Jf jaman. Yu guys your...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Dah..just mind yangu imekikuta imewaza hvo as dat man alikua ni mtu wa michepuko bt nw anadai katulia af me ndo nishapenda.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Daah...thankyu. ila hapo kama womaniza ndo jibu, kiroho kinaumaa:confused:
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maji maji katika uke au uume

    Okey. Sasa vip kwa mwanaume ambaye huo ute hautoki?? (...pia am above 20. Kwan abov 20 ndo wanajua kila kitu) ..anyways lets stick on the topic!
Back
Top Bottom