Recent content by Kidoti swizz

  1. Kidoti swizz

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    inawezekana Maana nahisi kizunguzungu, miguu haina nguvu kuna muda macho yanaona hafifu sana! Ulitumia dawa gani mkuu
  2. Kidoti swizz

    JamiiForums Tanzania Dawa ya tumbo kujaa gesi na kuungurumaa

    Sorry mkuu, mbona m nilipewa dawa LCT kit, na niliambiwa nina helicobacter! Nimemaliza kutumia lakin chembe cha moyo bado kinanivhoma, ila nilitumia kit 1, sijui tatizo bado lipo? Yani mpk nimetoka kama vipele kooni,maana tumbo lilikuwa linaunguruma
  3. Kidoti swizz

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Samahan jaman! Hivi ukiwa na tatizo la vidonda vya tumbo vinavyotokea njia ya kooni, vinaweza usababisha masikio kupiga kelele!? Maana nilipimwa na nikaambiwa nina bacteria helicobacter, lakin sasa kooni kunaungua napk masikio ila la upande wa kishoto
  4. Kidoti swizz

  5. Kidoti swizz

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Sorry Mimi nilienda hospital nikapimwa nikaambiwa nina maambukizi ya helicobacter,nikaandikiwa heligo kit nitumie, lakin nina vidonda vya tumbo ambavyo vimenitoa kama vijipele kwenye koo kwa nyuma kule,kula nakula vizuri na siumii, tatizo koo linawaka moto hali hiyo inapelekea masikio kulia...
Back
Top Bottom