Recent content by kidevu013

  1. K

    Kuku aina ya malawi (black Australorp)

    KUKU AINA YA BLACK AUSTRALORP ( HUFAAMIKA KAMA KUKU WA MALAWI) - hutaga mayai mengi 280-300 kwa mwaka - hupevuka mapema ndani ya miezi 4.5 tangu kifaranga - hutumia wastani wa gramu 125 za chakula akiwa mkubwa - hawatamii - asili yao ni Australia - huvumilia hali ngumu na magonjwa - wanafugika...
  2. K

    Naomba kufahamu bei ya Mitsubishi Rosa

    Rosa ni ceap 35 mpaka 40 unapata, coaster ni ghali ukilinganisha na rosa. Faida za rosa over coaster ni vipuri bei rahisi, huyo anae kwambia kua rosa sijui ina nguvu milimani kuliko coaster hajui. Toyota coaster ni gari ya ghali ukilinganisha na rosa nanina dumu na kuvumilia pia tatizo ni...
Back
Top Bottom