WEWE JAMAA ...inaonekana kama umeandika makala so unaponda za wengine ili watu wakupigie KURA WEWE KWENYE MAKALA YAKO....ACHA ROHO MBAAAYAAA ROHO YA KOROSHO unakuwa MCHAWI HUKU BADO KIJANA....KAMA UMEANDIKA MAKALA YA KUELIMISHA WATU WATAKUPIGIA KURA TU...Usiponde stories za watu wengine. ACHA UCHAWI
Kuna mijitu siku zote wameumbwa kukatisha watu tamaa, kwani kakulazimisha uamini....andika nawewe story Yako...hii nguvu ya kupinga better ungetunga story yako
1. Utangulizi
Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.