Recent content by KICHWA NAZI

  1. K

    Scandal: Wakati Watanzania milioni 3 wana njaa, serikali inauza chakula Kenya!

    Kuna jambo halijaeleweka hapa. Ni kweli Tanzania ilizalisha chakula cha ziada, lakini kutokana na njaa kubwa iliyokumba nchi zote zinazoizunguka Tanzania -- DRC, Kenya, Somalia, Sudan, etc -- chakula hiki cha ziada chote kiliuzwa na wafanyabiashara wajanja kwa nchi hii kupitia mipakani. Kutokana...
  2. K

    Majibu ya Shy-rose Bhanji kwa US blogger juu ya JK

    Watu wengi wanamuelewa vibaya Shy-Rose lakini ukimfuatilia kwa makini ukaacha mambo ya udaku yanayoandikwa dhidi yake na magezeti uchwara ya Tanzania utaona huyu ni mtu makini sana. Najua baadhi ya watu hawawezi kuona hili jambo beyond habari za udaku zinazoandikwa dhidi yake. Lakini kwa ufupi...
Back
Top Bottom