Recent content by Kichuli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vifo vya viongozi vyenye utata

    Kiukweli lazima wanadamu wamrudie mungu maake kila mtu sasa hivi anamejitoa akili
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vifo vya viongozi vyenye utata

    Inatisha sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya mkopo aliochukua(?) Dr.Slaa kutoka kwenye akaunti ya CHADEMA

    Bila slaa kugombea urais hiyo saccos ya mbowe ingekufa na lowassa asingeipenda akainunua kwa mabilion hivyo kumnunulia nyumba slaa ni sawa tu tena alitakiwa anunuliwe ndege ninyi malofa nini?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Slaa ni mkweli
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kwanini sikumpokea Lowassa, adai ndiye mwandishi wa Orodha ya Mafisadi

    Humu jf ndiyo mlikuwa wa kwanza kumsema lowassa ni fisadi leo ndiyo mnao msafisha kwa majitaka kwamba sii fisadi acheni huu utumwa wa mawazo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kwanini sikumpokea Lowassa, adai ndiye mwandishi wa Orodha ya Mafisadi

    Kwa mtanzania mwenye akili timamu na zilizotimilika lazma ajiulize maswali jinsi ninavyojiuliza mimi: How come Lowassa atumie hela nyingi sana kuutafuta urais, Katumia mabilioni akiwa ndani ya ccm kuutafuta urais na bado kuingia ukawa Katumia mabilioni pia, Je ikulu kuna nini sana sana mpaka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

  8. K

    JamiiForums Tanzania Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    Alitumwa na mbowe kumuua chacha wangwe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!

    Mimi nahama kabisaaa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kwanini sikumpokea Lowassa, adai ndiye mwandishi wa Orodha ya Mafisadi

    Ukimuona mtu ana double standards huyo muangalie twice its either hajielewi au anatumiwa/ka... Ukiwa una amini unalosimamia unasimama kwa hoja
  11. K

    JamiiForums Tanzania Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Chifu A, Chenge nakuombea kwa mungu akubariki endelea kuchapa kazi Bariadi inahitaji maendeleo na siyo majungu! wewe ni mbunge wa vitendo na maendeleo umefanya mengi jimboni kwako ambayo hayakuwepo kipindi cha nyuma usikatishwe tamaa na watumwa wa mawazo ya wachaga, Bariadi inakuhitaji kuliko...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Uongo, uongo, muogepeni mungu acheni kuwafanya watanzania ni wajinga kama ninyi mlivyo waongo mbona mmezoea uongo hivyo? Kweli Frenk unawezaje kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho? Ukizoea uongo utaishi kwa uongo!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Mzee chenge ni kiongozi wa watu aliyeletwa na Mungu hapa dunia kuja kusaidia watu wake na kweli anawasaidia anasomesha watoto wasio jiweza, anajenga zahanati, anachimba visima, amejenga mashule na kila aina ya maendeleo ameleta jimboni kwake hata mkimuonea wivu hamtakaweza kuubadili ukweli Mzee...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Wazee wa maandamano kweli nyinyi ni waongo sana mnawezaje kudanganya umma kwa jambo ambalo sio la kweli narudia kusema mzee chenge aka chenge na maendeleo hakuwa na mkutano mwakibuga wala hakusimama hapo sasa huu uongo kama wa viongozi wenu wa UKAWA umetoka wapi? Kumbuka wananchi wanahitaji...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Frenk wewe ni wakala wa shetani tena shetani aliye laaniwa unawezaje kusema uongo bila aibu mikutano yote ya mzee chenge mimi nilikuwepo tangu kata ya Isanga hadi leo kata ya Sapiwi amepokelewa kama mflume na wapiga kura wake na hajafanya mkutano Mwakibuga kama unavyo sema wewe kama umetumwa...
Back
Top Bottom