Recent content by Ki Mun

 1. Ki Mun

  Gado cartoons: Ajionavyo jiona JPMni tofauti na tunavyomwona sisi raia

  Mwanasheria mmoja wa Kenya alisema uwezo wa jamaa wa kufikiri ni village-based!
 2. Ki Mun

  Gado cartoons: Ajionavyo jiona JPMni tofauti na tunavyomwona sisi raia

  JPM katika FIKRA zake anajiona mtu TOFAUTI kabisa na tumwonavyo sisi raia wake...hii ni kwa mujibu wa Mchora Katuni maarufu Mtanzania, GADO...
 3. Ki Mun

  Rais akishamaliza hotuba yake sisi tutabaki Uwanjani kuendelea na sherehe za Muungano

  Tarehe 26 April ni siku muhimu sana kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...tutasherehekea sherehe za Muungano like never before.. Rais wetu mpendwa akishamaliza kusema ya kwake pale Uwanja wa Uhuru na kuondoka na viongozi wenzake kwenda kula ubwabwa na mvinyo laini Ikulu...sisi raia wengine kwa...
 4. Ki Mun

  Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Nimeboresha kanuni kuzuia wanasiasa kugombea Tanganyika Law Society (TLS)

  Huyu AG tuliyekuwa tunamsifia hivi ndo mara ghafla amebadilika hivi naye?
 5. Ki Mun

  Ujenzi wa Viwanda washika kasi nchini - hakika tuko kwenye 'right track' kama anavyosema Rais wetu mpendwa

  Hakika tuko kwenye 'right track( or 'lait tlack - wareva) kama asemavyo mheshimiwa Rais wetu mpendwa, Dr. Magufuli...tuongeze bidii kwenye kazi zetu za uzalishaji kila mtu kwenye sehemu yake...tutatoboa tu, haha! Maandamano ya nini Tenaaa???( In Mzee Tupatupa's voice).
 6. Ki Mun

  Ufunguzi wa tawi la CRDB Chato: Kimei asema vyuma vimelegea nchini, Magufuli aziomba benki zipunguze riba

  Lkn tu isije ikafika mahali CRDB wakakwambia tawi lao Chato halina wateja wa kutosha, hapo lazima watakujua we ni nani kama ulivowaambia waandamanaji leo...hongera sana Mr.President!
 7. Ki Mun

  Hivi Maandamano Yanaogopwa Hivi? Ningekuwa Mimi, Ningewaruhusu na Ulinzi Ningewapa na Kuwakaribisha Ikulu!.

  Hivi eti? Huyu jamaa kumbe mwoga tu, ndo maana ameanza kuitwa Mhutu
 8. Ki Mun

  Rais Kenyatta na Raila Odinga wamekubaliana kumaliza mgawanyiko uliopo na kulifanya taifa hilo kuwa moja

  Wapinzani wanauawa kila siku wewe huoni kama hilo ni tatizo? Basi Rais wenu anahusika
 9. Ki Mun

  Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

  We ni mjinga unawaza tu maandamano hujui kama kuna kupinduliwa pia na hao hao anaofikiri wanamlinda kwa sasa!
 10. Ki Mun

  Mwigulu Nchemba: Hawa wanaouwa sio Watanzania, ndio maana miili inapookotwa wananchi hawashtuki

  Hivi hawa watu sijui ni wagonjwa wa akili...kwa hiyo Mwigulu anaona sasa kuko shwari? Na hajasikia kelele zikipigwa? Kama kuko shwari kwanini kafanya hiyo interview? Ina maana hata hayo maswali ya mwandishi yeye hajaona kama ni kelele? Kazi ipo
 11. Ki Mun

  Rais Kenyatta na Raila Odinga wamekubaliana kumaliza mgawanyiko uliopo na kulifanya taifa hilo kuwa moja

  Pamoja na ushindani mkubwa na vuta nikuvute ya siasa za Kenya, lakini hawa wenzetu huweka maslahi ya Taifa lao mbele na maslahi yao binafsi pembeni...ni leo hii tarehe 9/3/2018, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Kiongozi wa NASA Bwan.Raila Odinga wanakutana kwa mazungumzo, sisi kinatushinda kipi...
 12. Ki Mun

  Shyrose Bhanji awapongeza Mama Janeth Magufuli na VP Samia kwa "Moyo wa Uvumilivu"

  Kada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
 13. Ki Mun

  Rais ni binadamu, Rais ana hofu ya Mungu, twende naye taratibu atatuelewa wananchi wake

  Mpaka umefikia kuandika Ujumbe wako, basi ujue huyo mtu unayemzungumzia(kama ni mtu kweli) si mtu wa kawaida...mtu hatari yan, unayoyaandika ni kama unatamani angekuwa tofauti,
 14. Ki Mun

  Kadiri muda ulivyosogea ndivyo wakosoaji wa Magufuli walivyozidi kuongezeka

  Pole sana kaka Ben, popote ulipo Mungu akurehemu na akufanyie kisasi...huyu dikteta sasa hivi kawa shetani kabisa ameona kuteka haitoshi sasa hivi wapambanaji wenzio wanapigwa risasi mchana kweupe na kukatwa katwa mapanga... Lissu kabla hajaumizwa alituambia the mad man is not thinking...
 15. Ki Mun

  Waziri Jaffo (TAMISEMI) aagiza kila Mkuu wa Mkoa kujenga viwanda vipya 100

  Katikati ya matukio ya utekaji, mauaji na utekaji yanayopaliliwa na serikali hii mwekezaji gani mwenye akili zake timamu atakuja kuwekeza hapa?
Top Bottom