Recent content by Khalid 49

  1. K

    SoC02 Kupambana na tatizo la ajira kwa vijana

    Nikweli tatizo ni kubwa kwa wote lakini kwa vijana ndio kubwa zaidi sababu ni wapya kwenye sekta ya ajira na maisha ya kujitefemea kwa ujumla
  2. K

    SoC02 Kupambana na tatizo la ajira kwa vijana

    Shukran kwa mrejeo mzuri.
  3. K

    SoC02 Kupambana na tatizo la ajira kwa vijana

    KUPAMBANA NA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA Kumekuwa na ongezeko kubwa la ongezeko la vijana kukosa ajira nchini hiyo imepelekea kundi la utegemezi kuwa kubwa nchi, ongezeko la uharifu na kupungua motisha kwa vijana wanaosoma kuendelea na elimu. tatizo likiongezeka linaweza kuleta madhara makubwa...
Back
Top Bottom