Recent content by Kgy26

  1. Kgy26

    SoC02 Utunzaji wa Afya kwa Watanzania

    Wadau karibuni Sana Kwa maoni pia msisite kunipigia kura🙏🙏🙏
  2. Kgy26

    SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Wadau karibuni Kwa maoni naombeni pia kura zenu🤗🤗🤗
  3. Kgy26

    SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Naomba mnipigie kura ni mimi Irene Arcard! Asanteni sana
  4. Kgy26

    SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Asante Zephania5 Mungu akubariki
  5. Kgy26

    SoC02 Uwajibikaji ni nguzo ya maendeleo katika nchi yoyote duniani

    Maana ya Uwajibikaji Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi. Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu, kutegemewa au kutoa hesabu ya kile ulichopewa dhamana ya kukifanya. Dhana hii imekuwa ikitumika sana...
  6. Kgy26

    SoC02 Utunzaji wa Afya kwa Watanzania

    Afya Afya ni hali ya kuwa na ustawi au kujisikia katika hali nzuri kimwili, kiroho, kiakili na kijamii. WHO inabainisha kuwa afya ni kuwa na ustawi kimwili, kiakili na kijamii. Aina za Afya Afya ya kiakili, inajumuisha hisia, tabia na mitazamo ya mtu kuhusu binadamu wenzake na...
Back
Top Bottom