Kwanza joggers, ni makala nzuri inayoelemisha na kutoa suluhu. Ila mm nafikiria hivyo vifupisho vya kiingereza vitakupunguzia alama kwamajaji wenye asilmia 70.
Ila kura yangu umeipata🤝.
MWALUBAINI WA KUTIBU HALI YA UBAKWAJI AU KULAWTIWA KWA WATOTO KATIKA JAMII YETU YA KITANZANIA.
Ubakaji maana yake ni ile ya mwanaume kumuingilia mwanamke bila ridhaa yake pasipo kujali ameingiliwa kwa kutumia kitu gani. Kulawitiwa ni ile hali ya mwanaume au mwanaume kuingilia kinyume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.