Wadau ivi maumivu ya mishipa sehemu za uume na mishipa inayoshabiana na Kende husababishwa na nini maana nilikuwa napiga sana nyeto sasaivi nimeacha napata hali hii sasa jee Tatizo hili litaacha Au litachukuwa muda gani kuaacha maana linaninyima raha.
Na nifanye nini niondokane na tatzo hili.
Habari zenu wana JF siku hizi nimekua kama nina katatizo kamenianza sijui ni tatizo au uginjwa yaani nikiwa naongea na msichana nikitoka baada ya muda natokwa na ute wa shahawa na muda mwingine napomaliza haja ndogo ute wa shahawa unanitoka...Naombeni msaada ndugu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.