Ahsante kwa swali lako. Mlevi sugu ataondokana na Hali hii kwa kupewa ushauri nasaha na kupata mtu atakayemwongoza taratabu kupunguza ( sio kuacha kabisa) unywaji wa Pombe kidogo Hadi pale atajapozoea kukaa kabisa bila kunywa Pombe.
Kwa maneno mengine, Ni vigumu sana kumwachisha kwa Mara moja...
Hello Ndugu wanjamii forums, nawakaribisha kusoma andiko langu hili, naomba maoni yenu Kama Kuna kitu Cha kuongeza au kurekebisha.
Lakini zaidi naombeni mnipigie kura!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
POMBE~Ni kinywaji kinachotengenezwa kwa kutumia mimea Kama ngano, mahindi, ndizi na mimea nyingine yenye sukari asilia ndani yake kwa njia ya uchachu ( fermentation process).
DAWA ZA KULEVYA~ Ni dawa zozote( zaweza kuwa za asili au za kutengenezwa kiwandani) ambazo mtu akitumia huchochea mfumo...
Kwani serikali ilishuka nayo kutoka mbinguni?? Serikali Ni Nani kwanza na iko kwa ajili ya Nani!? Nikiondoa neno Masai land nikaweka sukuma land, hakuna ardhi ya usukumani? Na wasukuma sio wananchi! Specifications Ni kukudokeza aina ya watu wanaoishi eneo husika la nchi na Sio kwamba eneo sio la...
Okay, ahsante kwa maoni yako, lakini kumbuka imeandikwa, enendeni mkaongezeke mkaijaze dunia, na kutawala vyote vilivyomo! Je, wewe waona wanadamu wateseke ili wanyama waishi!?
Kwamba wanyama wawe na ubora kuliko binadamu!? Kwamba hifadhi itakuwa endelevu endapo binadamu watateseka!?
Lakini...
Na
Kasale Maleton Mwaana (Mwenyeji wa Ngorongoro)
NINI KIFANYIKE KUBORESHA UHIFADHI NA MAISHA YA WENYEJI!?
Mamlaka ya hifadhi kwa kusaidiana na wizara ya maliasili na utalii pamoja na serikali kwa ujumla, waruhusu kilimo cha kujikimu kwa wenyeji katika maeneo husika ili kupunguza janga la njaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.