Nyumba 2 zilizo eneo moja zinauzwa tegeta skanska, zina hati miliki ukubwa wa eneo ni sqm 739. kila nyumba ina vyumba 3 vya kulala vyote master jiko, dining, public toilet, sebule kubwa, parking, store na zote zipo ndani ya fensi kando ya barabara ya rami, bei yake ni ml 600 kwa mawasiliano...