Recent content by Kalunde.

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Mkuu tuongee nipigie kwa 0783 477 886
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Ni pesa lakini kwa bei hiyo hapana walau hata ungesogea ikawa 12,000,000
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Mkuu bei 15,000,000.00
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Mkuu mwisho 13,000,000.00
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Ni makosa ya kiuandishi nilirekebisha, Bei ya msingi Ni mil 15
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Mkuu hiyo uliyotaja Ni pesa lakini siwezi kuuza kwa Bei hiyo, sio kiwanja pekee tayari nimejenga misingi ya nyumba mbili na septic tank
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Mkuu Bei ni mil 15
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Nadhani ungerudi kulisoma vizuri tangazo langu, nimeeleza kuwa kiwanja kina misingi ya nyumba mbili
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Samahani ni mil 15 na sio 25
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Kwenye tangazo sikuweka bei,nilitegemea muhitaji aingie inbox kwa namba nilizoziweka kwenye tangazo ambazo Ni 0783 477 886,hata hivyo Bei ni Tshs mil 25
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Kutokea mjini Ni Basi moja la kwenda Kihonda, unateremkia njia panda ya mwendo kasi, kutoka hapo stedi Ni mwendo wa km 1 na nusu, mara nyingi usafiri wake Ni boda pia waweza fika hata kwa kutembea. Mawasiliano yangu Ni 0783 477 886
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Sawa mkuu,barabara ipo,nguzo za umeme tayari, mabomba ya maji yameanza kusambazwa. Natuma picha ya ramani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0783 477 886. Asante
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali mgongoni upande wa kushoto chini ya bega kwenye maungio ya mkono

    Pole. Nilipata maumivu Kama hayo,baada ya kufanyiwa vipimo nilikutwa nina uric acid imezidi. Nakushauri kamuone dokta
Back
Top Bottom