Recent content by June blizzard

  1. J

    Nina shida ya tatizo la Ngozi, naomba ushauri

    Yeah, japo wengi unakuta wametumia dawa ambazo na mimi nilishatumia na wamepona
  2. J

    Nina shida ya tatizo la Ngozi, naomba ushauri

    Shukrani kwa ushauri japo nimeshaonana na specialist wa ngozi na alinipa maelekzo kama niliyoandika hapo juu. 😅Kuhusu Kufanana na afande, hapana sio mimi huyo.
  3. J

    Nina shida ya tatizo la Ngozi, naomba ushauri

    Shukrani, labda ungenisaidia Kituo ulichoenda kupata matibabu na mimi niweze kwenda ,tafadhari.
  4. J

    Nina shida ya tatizo la Ngozi, naomba ushauri

    Shukrani kwa ushauri wako🙏. shida inakuja, hii hali ina miaka miwili sasa. Na vilikuwa vidogo tu lakini kadri siku zinavyozid kwenda mbele vinaongezeka.
  5. J

    Nina shida ya tatizo la Ngozi, naomba ushauri

    Shida hii ipo usoni tu na ni baadhi ya sehemu ya uso, ni kama vidoti vyeupe na ilinianza toka 2022. Nimetumia dawa za Mba lakini wapi, nikaenda pharmacy wakaanza kunipa dawa za  Fungus zakupaka na kumeza. Nikaja kwenda Hospital nikapatiwa pia dawa zakumeza siku 30 na yakupaka. Nimejikuta...
Back
Top Bottom