Recent content by Juleilah

  1. J

    Mtoto wa mwaka na miezi 3 kuchelewa kukaza shingo

    Habari zenu, Nina mtoto wa mwaka na miezi mitatu alichelewa kukaza shingo kwa sasa ndio anatambaa ila kwa makalio. Ila napatwa na wasiwasi ninapomsimamisha shingo yake anaitupa kwa nyuma. Nifanye nini ikae sawa? Ila anapokaa anachezea vitu vizuri tu na kuvifata hata kujaribu kusimamia vitu...
  2. J

    Mtoto wa miezi 9 kushindwa kukaa kwa kujitegemea

    Msaada jamani😒 Nina mtoto wa miezi 9 na week 3 sasa hawezi kaa kwa kujitegemea kwa muda mrefu akikaa kidogo anaanguka ijapokuwa yupo active kuanzia mikono kushika shika vtu na miguu kuitupa na kuikunja ndio zaidi NB:alichelewa kukaza shingo nikajithd na mazoez niliyoelezwa ila nikaambiwa akifika...
Back
Top Bottom