Recent content by jT0078

  1. J

    Lete Laptop Mbovu nikupe pesa

    Bei Maelewano Kutegemea na Model ya Laptop... Speciication.. Aina ya ubovu.. Nipo Ilala - Dsm 0718290779
  2. J

    Laptop kwa 150k Tshs tu

    NJOO NIKUUZIE LAPTOP KWA BEI NDOGO TOSHIBA SATELLITE C660 INTEL CELERON (R) @ 1.5ghz 4gb ram/320gb hdd 15.6 Display size 2.30hrs battery life usb/Bluetooth/Card reader/wifi/Lan/DvD Rw Windows 10 Pro 64bit Bei 150,000/= Tshs Ilala - Dsm 0718290779
  3. J

    Nanunua laptop Mbovu kama spea

    unatuma ktka bus boss, au kama una ndugu Dsm mtumie aniletee
  4. J

    Nanunua laptop Mbovu kama spea

    Kama una laptop mbovu lete nikupe pesa, bei maelewano. Nipo ilala - dsm 0718290779
  5. J

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    live stream jamani naomba link
  6. J

    Tunafunga CCTV camera kwa bei ndogo

    Hapo ndio inaonesha tabia ya vijana wengi wa Kbongo kuwakatisha tamaa wenzao walioamua kujiajiri!
  7. J

    Tunafunga CCTV camera kwa bei ndogo

    Daah bab! kwahiyo nafanya udalali sio?
  8. J

    Tunafunga CCTV camera kwa bei ndogo

    Tunafunga cctv camera kwa bei ndogo.. Majumbani.. Sehemu za starehe.. Sehemu za ibada.. Mashambani.. Store.. Dukani... Tupo Ilala - Machinga complex - DSM 0718290779
  9. J

    Kama una Laptop/PC mbovu hauzihitaji nichek

    Habari wadau! Kama una Laptop mbovu au Desktop mbovu na hauzihitaji nichek fasta nikuondolee uchafu. Nipo ILALA - DSM 0718290779
  10. J

    Tunatengeneza computer aina zote

    Kama una Computer mbovu na unahitaji fundi bingwa asiyeshindwa nichek. Pia tunauza Accessories za Computer aina zote. Fundi anaweza kuja ulipo kufanya kazi. Office ipo ILALA - DSM 0718290779
  11. J

    Tunafanya ufundi kwenye Epson Printer aina zote

    Sisi ni Mabingwa wa kufanya matengezo kwenye aina zote za Printer. Lete ofisini kwetu au fundi anaweza kuja ulipo. Tunapatikana Ilala-Machinga Complex, DSM. Simu: 0718290779
  12. J

    Changamoto ya foleni toka Mbagala Rangi 3 hadi Kongowe-Dsm

    Habari wadau! Mimi ni mkazi wa kisemvule iliyopo mkoa wa Pwani. Tuna changamoto ya Foleni kuanzia mbagara rangi 3 hadi kongowe, hii inatokana na ufinyu wa bararaba (nyembamba) kuanzia kokoto hadi kongowe. Barabara ya mwendokasi imeishia hapo kokoto, ila kuendelea huko mbele ni single road...
  13. J

    Kama umeuziwa kiwanja kwenye maeneo haya Dar, anza kujipanga

    Hapo kibaha boko Mlemela viwanja vimeshaanza kuuzwa sqm 1=6000
  14. J

    FIFA Women's World Cup 2023 | Kombe la Dunia kwa Wanawake

    Mwenye link ya mechi France vs Brazil
Back
Top Bottom