Hello, Naitwa John Raphael ni Mmiliki wa Jb Catering iliyopo Mtoni-Kijichi...
Hii kampuni ina Assets karibia zote za restaurant operations, na nina zaidi ya mwaka tangu kampuni ilipo anzishwa..Partner Niliyekua nae amesafiri kwenda nje ya kazi, sasa kutokana na responsibilities kua nyingi...