Recent content by Joxe Otieno

  1. Joxe Otieno

    JamiiForums Tanzania Habarini wadau ninayo shida ya kujua je ! Kuna tiba ya mawe kwenye mfuko wa nyongo tofwauti na upasuaji

    Kuna hiyo ripoti apo ya city scan majibu yalikuja ivyo
  2. Joxe Otieno

    JamiiForums Tanzania Habarini wadau ninayo shida ya kujua je ! Kuna tiba ya mawe kwenye mfuko wa nyongo tofwauti na upasuaji

    Sorry iyo Ursodeoxycholic acid na Rowachol vinapatikanaje??
  3. Joxe Otieno

    JamiiForums Tanzania Habarini wadau ninayo shida ya kujua je ! Kuna tiba ya mawe kwenye mfuko wa nyongo tofwauti na upasuaji

    Kwamara ya kwanza ili anza macho kuwa ya njano na aja ndogo ,mkuu nilipo fika hospital wakapima "hpts B" hikawa negative ,sasa ndio Docta akashauri nipige ultrasound ikaonyesha kuwa kunae mawe lakini yule jamaa alichukua muda mrefu bila kuona kitu,badae ndio akasema nimawe kwenye mfuko wa nyongo...
  4. Joxe Otieno

    JamiiForums Tanzania Habarini wadau ninayo shida ya kujua je ! Kuna tiba ya mawe kwenye mfuko wa nyongo tofwauti na upasuaji

    Naomba kama kuna MTU anajua anisaidie
Back
Top Bottom