Safi Sana Mwita, kijana umejitahidi Sana kutuelewesha vijana kuachana kazi za bahati nasibu. kura yangu nakupa,pia karibu kwenye andiko langu la SoC 2022 Ujue ugonjwa wa shinikizo la damu
UTANGULIZI
Shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa makubwa yanayosumbua afya za binadamu, Shinikizo la damu laweza kuwa tatizo liliotokana na madhara ya magojwa mengine ya mifumo ya mwili au laweza kuwa la asili(awali).
SHINIKIZO LA DAMU
MAANA
Shinikizo la damu ni musukumo wa damu ulioko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.