Alikuwa anasiku 3 tu toka azaliwe, samahani nilikuwa nipo sehemu ambayo hakuna Internet kwa wiki 2 hivi ndo maana nimechelewa kujibu, nilikuwa kwa babu kijijini
Alianza kulia tu wakati wa usiku, mama yake akawa anamnyonyesha anakitulia baadae ananza tena kulia, imefika saa 11 alfajiri mtoto akaanza kama kupiga chafya, kapiga chafya ya kwanza, alipopiga chafya mara ya pili tu damu zikamtoka puani na mdomoni, tunaenda Hospital tunafika mtoto akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.