Njia mzuri ni kwenda kumfuata anaumwa nini? Kama ni Hepatatis B unaambukizwa mpaka kwa jasho so matibabu yake ni hivi vidonge na unatumia pia mpaka unaingia kabulini
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Dr mshauri umeeleza mengi sana lkn wengi wanashidwa kujua kuwa ARV doze inatumika kwa magonjwa mengine kama Hepatatis B ni ugonjwa mbaya unapunguza sana kinga ya mwili pia inaambukizwa kwa njia ya ngono mpaka jasho na kwa sasa rate yake ni kubwa sana hapa Tanzania ni bora ukimwi kuliko huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.