Habari za hapa ndugu zangu.
Mimi nina changamoto moja, mke wangu anasumbuliwa na mafua yasiyopona na koo linawasha tangu mwezi wa sita, nifanye nini kumsaidia?
Naomba ushauri kwa anaye fahamu njia ya kutibu hili tatizo.
NASUMBUKIWA NA MAUMIVU hayo maeneo yote na niupande mmoja wa kulia mahali panapo onyesha namba 01 ndipo tatizo lilianzia na kusambaa maeneo mengine
Palianza kuwasha na kuuma kwa ndani ila mtu akinipigapiga mgongoni Eneo linalo uma panapoa naomba ushauli nifanyeje
Niupande wa kulia nikivuta...
Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua
nikijaribu kuvuta pumzika nyingi kuijaza kifuani maeneo ya mbavu na kwa ndani nahisi Kama Kuna kitu nakitinesha ila...
Ndugu zangu naitwa John Venas nasumbuliwa na maumivu ya muda mrefu ya UPANDE mmoja wa KIFUA na mbavu nilifanya
Vipimo vya Exray bila matokeo yoyote lakini Sasa tatizo linasogea na linahamia na kuzidi kuenea
Ukisoma hizo namba 01 ndipo tatizo lilipo anzia nilianza kuhisi maumivu UPANDE huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.