Recent content by Jmushi91

  1. Jmushi91

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Tabasamu lako leo ndio kila kitu na ndio ushindi mkubwa ulio nao. Hebu tutabasamu pamoja ili tuishi sote kwa furaha na amani katika ulimwengu wetu huu mzuri. Naomba ushirikiane na mimi kupitia hii makala tuone changamoto ya fikra yetu hivi sasa. Alafu naomba uniambie kwenye comment kama umeweza...
  2. Jmushi91

    SoC02 Mshindi ni mimi na wewe leo

    Umegundua nini kwenye hii simulizi? Nafkiri umeona umuhimu wa pumzi uliyonayo. Au wewe umegundua nini?
  3. Jmushi91

    SoC02 Mshindi ni mimi na wewe leo

    Utajiri, pesa, umaarufu, vyeo, mamlaka, afya, chakula, mavazi, kazi, nyumba, magari, simu ya kisasa, unaweza kutaja mafanikio yoyote ambayo umepata. Hakika orodha haijaisha. Sasa nikuulize, ni mafanikio gani makubwa uliyoyapata maishani? Fikiria juu ya hili unapochimba chini kwenye hii...
Back
Top Bottom