WanaJF na wataalam wa afya ya ngozi nisaidieni Hili, nmekuwa na madoa mengi Sana USONI baada ya chunusi na vipele kuvikuna na kupona, nimejihisi pengine nitakuwa na upungufu fulani mwilini mwangu kwa sababu mwanzo nilikuwa napona na nilikuwa sibakiwi na doa jeusi, sasa hivi vinabaki vingi Sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.