Recent content by Jeremydemark

  1. Jeremydemark

    Shamba linauzwa Bagamoyo

    Kule pori tyu, ila mcheki huyu 0655512428 atakwambia yako ngapi,,, ila ni kama laki 5 hv au 1 milioni hv ukimaliza kazi yako ww kama dalali
  2. Jeremydemark

    Shamba linauzwa Bagamoyo

    Shamba linauzwa lipo bagamoyo kiwangwa, ni kilometa 10 toka bagamoyo mjini pia lipo karibu na mto wami, ni hekari 20, linauzwa milioni 22 kwa hekari zote,,, Pia unaweza kununua nusu hekari ambayo ni hekari 10 kwa milioni 11 tu Wasiliana na 0655512428, 0715546902 na 0719489643
Back
Top Bottom