Recent content by JEHOVAH WISHES

  1. J

    Serikali nayo yaanza kunyooshwa, wilaya ya Bagamoyo yakosa wanunuzi wa viwanja kwa karibu miezi minne

    Wew changudoa huwez kujua ugumu wa maisha, wew kazi ni kugawa nyuma tu unajipatia kipato kisha unakimbilia kwenye kibodi kuandika kinachofanana na kazi au mtaji wako "mkndu wewe!! " Bibi yangu muuza vitumbua na karanga anaujua ukweli. Hata yeye mwanzon alifurah sana kuskia watu wamefukuzwa...
  2. J

    Serikali nayo yaanza kunyooshwa, wilaya ya Bagamoyo yakosa wanunuzi wa viwanja kwa karibu miezi minne

    Ok, tufanye mtu alinunua kipande cha ardhi kwa milion 7 mwaka 1990. Leo 2017 anakiuza, unataka auze 7milion? Unajua hiyo milion 7 ya enzi hizo ni sawa na sh. Ngapi leo, pesa kila leo inashuka thaman na kipimo kizuri cha kushuka thaman angalia uwezo wa kupurchase hasa vyakula na huduma...
  3. J

    CCM inavyoumia kwa kupuuza ushauri wa Jakaya Kikwete

    Sidhani kama ubongo wako unajaa hata kijiko cha chai aisee, inabidi watu wawe wanatuma cv zao kwanza ndipo waruhusiwe kujiunga jf
  4. J

    CCM inavyoumia kwa kupuuza ushauri wa Jakaya Kikwete

    Ndg, soma kwa makini uzi, hasa pale chini, mleta mada amekiri kuwa kikwete alikuwa na madhaifu mengi, ila si kama ya huyu wa sasa. Nashindwa kuaminj kama hukuona kipengele hiki ama ni umeamua kujipunguza tu akili.
  5. J

    Ofisi ya Bunge yakanusha tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kwamba linaendeshwa kibabe

    Unaweza kumdanganya kila mtu ila huwez kuidanganya nafsi yako. Naona unajaribu kuidanganya nafsi yako ila nakuhakikishia hautafanikiwa
  6. J

    Rais Magufuli: Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa washwa

    Aisee huu ndo udikteta. Keshawaona wastaafu kuwa wakwamisha viwonder nao? Hatuishi kutafuta wachawi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Rais Magufuli: Wastaafu wengine hawachoki kusema, wanawashwa washwa

    Na kikwete eti? Maana hiyo ndiyo ilikuwa target yake leo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Usilazimishe kibwagizo cha pogba kutetea wanyonge, huko kijijin kwetu kabale-simiyu hawataki hata kumuona huyo mwigizaji, ambaye analalamika kila kukicha utadhan hana mamlaka ya kubadilisha mambo, kazi yake analalamika mbele ya wananchi, sijui anataka apigiwe kura awe katibu mkuu UN ndipo...
  9. J

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Endelea kujifariji na takwimu za gazeti la uhuru. By the way mna mkakati gani zaidi wa kummaliza lissu baada ya huu kufeli? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Uzuri wenu ni kwamba akili mmeacha kwenye makabati ya polepole lumumba, ni viungo tata ndivyo vinafanya kazi. Hata wewe ukienda kuchukua akili yako utakuta inashabihiana na nafsi yako kukiri kuwa jamaa anapendwa. Poleni. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    Uhuru Kenyatta: Hospitali aliyolazwa Lissu huko Nairobi kuongezewa ulinzi!

    Wazungu weusi eti? Tena wanaopokea maelekezo kutoka juu! Mburura kweli wewe! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Kwan Lissu kawa wa kwanza kuonewa nchi hii? Huyajui matukio ya uonevu yaliyolitangulia hili? Masaburi na tumbo ndivyo vinayokufikirisha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Ila nimejua watu wana akili sana. Wako kimya kumbe wanamchora tu huyo pogba, yeye anajiona winner ili hali anapiga ngoma na kucheza mwenyewe. Itabidi abadilishe mikakati ya kampeni ya uchaguzi aliyokwisha kuianza. Hii imebuma Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Walidhani wamekwisha kumchafua na propaganda ya kukosa uzalendo.... Hawajaamini kuona watanzania wanampenda na kumuona mzalendo kuliko pogba anayependa vyombo vya habari. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom