Mahali : Mikese Morogoro,karibia na sehemu wanapopimia magari ya mizigo na mikoani,umbali kama mita 200 kutoka barabara kuu.
Ukubwa : Heka tano
Ziada : Kinafaa kwa uwekezeji katika shule au kujenga hoteli ya kitalii au kujenga go down na kadhalika....
Kiwanja kina hati miliki inayotambulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.