Recent content by Jax12

  1. J

    Nafasi ya kazi kwa mtu mwenye Stashahada ya manunuzi ya ugavi

    Anahitajika haraka mtu mwenye shahada au stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement and supply or procurement and logistics management), kufanya kazi kwenye kampuni ya logistics iliyoko morogoro. Tuma wasifu wako (CV) kwenye barua pepe ;muronestus@gmail.com.
Back
Top Bottom