Recent content by janey1985

  1. J

    JamiiForums Naomba ushauri

    Ahsante kwa maelezo yako, nitavuta subra. Lakini naomba kuuliza juu ya suala la uzazi wa mpango kwa kutumia mbegu za minyonyo, Je ni kweli! na je hutumikaje! Na kama ni NDIYO, kwa mtu mwenye mzungungo mfupi au mrefu zinatumika vipi? Maana nimesikia hii ndiyo njia bora na salama kwa uzazi wa mpango
  2. J

  3. J

    JamiiForums Naomba ushauri

    Hello Dk. Pole na majukumu ya kuelimisha jamii. Mimi ni mama mwenye umri wa miaka 29, nilijifungua mtoto na kuweza kutumia njia ya uzazi ambayo ni njiti ya muda wa miaka mitatu, lakini nilikaa nayo kwa muda wa miaka miwili na kuweza kuitoa, lakini baada ya kuitoa yapata miezi tisa sijaona siku...
Back
Top Bottom