Pole mkuu, nikushauri nenda Regency Hospital pale utapata matibabu ya uhakika kwa hilo tatizo lako mimi nina Dada yangu alikua na hilo tatizo alipokwenda walimpima na kukutwa na ugonjwa huo wakafanya uchunguzi kujua ni dawa ipi sahihi kwake kutumia kulingana na ukubwa wa tatizo, matibabu yake...
Naitwa James nimeoa na nina watoto wa4, pamoja na kua nimeoa ila nje nina mchepuko
Nilipokua na huu mchepuko kwa mara ya kwanza kufanya nae mapenzi nilipiga show nzuri tu bila tatizo lolote siku nyingine Nilipo taka kufanya nae mapenzi kwa mara ya pili uume wangu ulisimama kabla ya tendo baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.