Leo naegemea katika vipengele vya kushusha kodi katika vileo na kupandisha bei katika mafuta na kuongeza makatato katika miamala ya fedha inayofanyika kwa simu.
Jambo hili nimekua nikilitafakari sana hata sija waelewa viongozi wa taifa hili kwanini wanalinakabidhi taifa letu kwa ibilisi wazi...
kwa maelezo hayo nakusihi nunua kigari kidogo kwanza ndicho kitakuletea gari kubwa ya taka usipendelee mikopo yaweza kukurudisha nyuma jitahidi kwanza kusimama na mtaji huo ulionao.
Habari Mpendwa msomaji wa JamiiForums,
Leo nimeona nitoe uelewa wangu huu ili niwashirikishe jamii ya kitanzania, hasa wapenda maendeleo na wale wanao tamani kuiona Tanzania ikikua kiuchumi, kutoka hapa tulipo, yaani uchumi wa kati wa chini, Nakwenda uchumi wakati wa kati hadi wa juu.
Suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.